Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dr.Samia Suluhu Hassan alipofanya ziara nchini China.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano…
The Revolutionary Party (Chama Cha Mapinduzi- CCM) is the ruling political party in
Tanzania and is widely credited with playing a pivotal role in the nation's political and
economic development. Found-ed in 1977 following the merger of the Tanganyika African
National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), the sole operating parties in
mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar,respectively. The party was
established to replace the coalition of anti-colonial independence movements that had been
ruling the country since independence in 1961. Since then, CCM has been the dominant force
in Tanzanian politics,winning every election since its inception.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala kikuu nchini Tanzania na chama kilichotawala kwa muda mrefu zaidi barani Afrika.
Mwisho wa mwaka 2012, CCM-CHINA ilianzishwa kutokana na mawazo ya wanachama wa CCM na wawakilishi ambao walikuwa wameishi China
Aliyezaliwa Zanzibar Mwaka 1960, ni Rais wa kwanza mwanamke na Makamu wa Rais wa Tanzania.
Rais wa 8 wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), ni mtoto wa Rais wa zamani wa Tanzania Ali Hasan Mwinyi....
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel…
Mhe. John Mongella, Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara), Ally Salum…
"Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine; hakuna watu kwa ajili ya watuwengine"
"Viongozi wenzangu tutatue matatizo ya wananchi tunaowaongoza, ni lazima tusimamie kazi tulizojipa, ninataka mambo yatendeke haraka"
"Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na ustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi"
"Ushauri wangu kwako Usirithi Adui wa mtu, tengeneza Adui yako mwenyewe na Ushauri wangu kwako huna sababu ya kutengeneza adui. Mchukulie kila mtu vile alivyo sio kwa kuambiwa, utakapo fanya nae kazi Utajua Nani ni nani."
"Mtaji wa Masikini ni Nguvu Zake Mwenyewe."
"Siasa hazikuja iwe sababu ya kuleta hasama, siasa imekuja kwa madhumuni ya kukuza demokrasia katika nchi."
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala kikuu nchini Tanzania na chama kilichotawala kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Kiliundwa mwaka 1977 kufuatia muungano wa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP), vyama pekee vilivyokuwa vikifanya kazi katika Tanzania bara na visiwa vya Zanzibar vinavyojisimamia, mtawalia.
Piga Simu: +8617812030575
Barua Pepe:
ccmchina001@gmail.com
Tunapatikana:
Lanhui Apartment, Beijing Normal University, No.19 Xinjiekouwai Street, Haidian District, Beijing, China.