Salum Mussa Haruna

MWENYEKITI (2024-To Date)

Cde.Haruna anafanya PhD ya International Relation ya chuo cha Yunnan University. “CCM Dira ya maendeleo ya kweli, haki na usawa ndio jadi Yetu”

Bariki Essau Mtui

KATIBU (2024-To Date)

Cde. Mtui anafanya shahada ya Uzamili ya Project Management katika chuo cha Yunnan University of Finance and Economics “CCM yenye heshima, uchapakazi na haki kwa watu wote ”

“Shina la CCM Yunnan lilianzishwa mwaka 2022 katika mji wa Kunming, Yunnan China, chini ya Mwenyekiti wake wa kwanza Cde. SALUM MUSSA HARUNA. Shina la Yunnan, limefanikiwa kuwa na wanachama 18 hadi sasa. Kama yalivyomashina mengine, shina hili linajishughulisha na shughuli za kukitangaza chama pamoja na fursa za maendeleo zilizopo  Yunnan  na China kwa ujumla.” Kwa kufuata katiba mama ya Chama, shina pia limefanikiwa kuwa na awamu kadhaa za uongozi, ambapo hadi sasa lina uongozi wa awamu ya nne, uliopo chini ya Mwenyekiti, Cde. SALUM MUSSA HARUNA.”