
Katibu wa NEC Slasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg.Rabia Abdalla Hamid,leo tarehe 9 Januari 2024.amefanyaKikao na Uongozi wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi nchiniChina na kupokea Msaada wa Madaftari 2400 na Kalamu1250 kwa ajili ya kusaidia Familia zilizokumbwa na madhiraWilaya ya Hanang , Mkoa wa Manyara.
Katika kikao hicho, Katibu Rabia alishukuru Viongozi haowa CCM kwa uzalendo na moyo wa upendowaliouonyesha,ikiwa ni dhamira kuu ya Chama ChaMapinduzi kuendelea kuwa kimbilio la Watanzania.