Joseph Kulwa Katobesi

MWENYEKITI (2024-To Date)

"Pursuing PhD in Economics at the University of International Business and Economics (UIBE) in China".

Joseline Yahaya Rajab

KATIBU (2024-To Date)

Shina la CCM Beijing ni moja kati ya mashina yenye wanachama wengi na bora kabisa hapa China. Shina hili lilianzishwa mwaka 2014 chini ya uenyekiti wa Cde. Shauku Kihombo. Hadi kufikia 2024 Shina hili limekuwa na zaidi ya wanachama 170 wengi wao wakiwa ni wanafunzi wanaosomea fani mbalimbali. Shina pia linajivunia kuwa na wanachama wakaazi na wafanyakazi ambao kimsingi wanakitangaza Chama cha Mapinduzi na itikadi zake. Kupitia viongozi wake, shina hili pia limekuwa likishirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini China katika mambo mbalimbali, kama vile kupokea viongozi wa juu wa Chama na Serikali, kuwashirikisha wanafunzi na wakazi kutafuta fursa kwa ajili ya Tanzania na watanzania, kufanya ziara mbalimbali za kujifunza na kukumbushana sheria, kanuni na taratibu za nchi ya China na wajibu wetu.