I dagens digitala värld finns det ett brett utbud av onlinecasinon tillgängliga för spelare över hela världen. Många av dessa casinon erbjuder möjligheten att spela utan Spelpaus, en svensk självavstängningstjänst för spelare med spelproblem. För erfarna spelare kan denna…
T-Shirt Rasmi za Tawi la CCM China kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Oktoba 29, 2025 Picha
“Tawi la CCM CHINA linakupongeza Cde. Muhsin Ussi kwa ushindi wa heshima jimbo la Malindi”.
“Tawi la CCM CHINA linakupongeza Cde. Muhsin Ussi kwa ushindi wa heshima jimbo la Malindi”.
Tawi la CCM China Linakupongeza Cde. Selwa Ali Sheha (Mbwara) kwa kuteuliwa kugombea Ubunge jimbo la Mtoni. Tunawaomba wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kumpa kura nyingi za Ndio kwani tuna imani naye, ana uzoefu mkubwa na ni chaguo sahihi kwa…
Tawi la CCM China Linakupongeza Cde. Amina Miraj Hassa kwa kuteuliwa kugombea Ubunge Viti Maalum Vijana Zanzibar. Tunawaomba wajumbe wote wa Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM Taifa kumpa kura nyingi za Ndio kwani tuna imani naye na tunaamini kwenye uwezo…
Tawi la CCM China Linakupongeza Cde. Alhaj Dr. Juma Magogo Mzimbiri kwa kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mlalo. Tunawaomba wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kumpa kura nyingi za Ndio Dr. Mzimbiri kwani ni Mwenye Maono, Mchapakazi, na Chaguo la Wana…
Tawi la CCM China Linakupongeza Cde. Fadhili Salum Ngenzi kwa kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kasulu Mjini. Tunawaomba wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kumpa kura nyingi za Ndio kwani ni Mchapakazi, Mpenda maendeleo na tunaamini kwenye uwezo wake wa uongozi.…
Tawi la CCM China Linakupongeza Cde. Janeth Nyandiwa Mnyaga kwa kuteuliwa kugombea Ubunge Viti Maalum kundi la Wafanyakazi. Tunawaomba wajumbe wote wa Mkutano Mkuu Maalum wa UWT Taifa kumpa kura nyingi za Ndio kwani tuna imani naye na tunaamini kwenye…