Hussein Kanduru

MWENYEKITI (2024-To Date)

“Cde. Kanduru anafanya shahada ya Uzamivu katika uchumi katika Chuo cha Hunan (Hunan University)”

Senzota Semakuwa

KATIBU (2024-To Date)

“Cde. Semakuwa anafanya shahada ya Uzamivu katika Sayansi ya Komputa katika Chuo cha Hunan (Hunan University)”

“Shina la CCM Hunan lilianzishwa mwaka 2017 katika mji wa Changsha China, chini ya Mwenyekiti wake wa kwanza Cde. Nsubi Mwakasebo. Shina la Hunan, limefanikiwa kuwa na wanachama 36 hadi sasa. Kama yalivyomashina mengine, shina hili linajishughulisha na shughuli za kukitangaza chama pamoja na fursa za maendeleo zilizopo Hunan na China kwa ujumla.” Kwa kufuata katiba mama ya Chama, shina pia limefanikiwa kuwa na awamu kadhaa za uongozi, ambapo hadi sasa lina uongozi wa awamu ya nne, uliopo chini ya Mwenyekiti, Cde. Hussein Ally Kanduru.”

 

Address: 410082, Hunan-Changsha
Phone: 15074892837
Email: ccmhunan@gmail.com