

The Revolutionary Party (Chama Cha Mapinduzi- CCM) is the ruling political party in
Tanzania and is widely credited with playing a pivotal role in the nation's political and
economic development. Found-ed in 1977 following the merger of the Tanganyika African
National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), the sole operating parties in
mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar,respectively. The party was
established to replace the coalition of anti-colonial independence movements that had been
ruling the country since independence in 1961. Since then, CCM has been the dominant force
in Tanzanian politics,winning every election since its inception.
Katibu wa (NEC) mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg. Rabia Abdalla Hamid siku ya Tarehe 4/06/2025 alifanya kikao pamoja na viongozi wa Tawi la CCM China kikao kilichofanyika katika Mji wa Beijing kikiwakutanisha wanachama wa Shina La Beijing na Mashina mengine ya Karibu kama Hunan, Zhejiang. Qingdao, Jilin na Tianjin. Kikao hiko kilikua na Lengo la kuimarisha umoja na mshikamo katika Tawi na kukisemea Chama na Kumsemea vizuri Rais wetu wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoitekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye Kipindi cha Miaka 5 kutoka 2020 – 2025.