

The Revolutionary Party (Chama Cha Mapinduzi- CCM) is the ruling political party in
Tanzania and is widely credited with playing a pivotal role in the nation's political and
economic development. Found-ed in 1977 following the merger of the Tanganyika African
National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), the sole operating parties in
mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar,respectively. The party was
established to replace the coalition of anti-colonial independence movements that had been
ruling the country since independence in 1961. Since then, CCM has been the dominant force
in Tanzanian politics,winning every election since its inception.
WANACHAMA WOTE WA,
Chama Cha Mapinduzi(CCM)- Tawi la China.
YAH: MUALIKO WA MAFUNZO KWENYE DARASA LA ITIKADI NA UONGOZI.
Tawi la CCM China linakualika Kuhudhuria mafunzo ya Darasa la Itikadi na Uongozi yatakayofanyika
siku ya Ijumaa Tarehe 20/06/2025Saa mbili kamili usiku Saa za China ambayo ni sawa na Saa Tisa
Alaasiri Muda wa Tanzania.
Mafunzo haya yataongozwa na Mwalim Yusuph Rajab ambae ni Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Songwe. Darasa hili ni Muhimu kwa wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi hususan wanachama wapya. Tunakuhimiza na pia umuhimize mwanachama mwenzako kuhudhuria mafunzo haya.
CCM OOOOOYEEEEE!..
CCM SAAAFIII?
Imetolewa na
lbrahim Mariam
Mwenyekiti wa kamati ya Elimu na Mafunzo CCM Tawi la China
Tarehe: 18/06/2025