Semakuwa, S.K.

M/Kiti, Kamati ya TEHAMA, 2024

“Tumia nguvu ya teknolojia kwa uchumi endelevu na maendeleo ya jamii kwa usawa.”

Bernard H. Manyama

Katibu, Kamati ya TEHAMA, 2024

"Teknolojia ni chachu ya maendeleo kwa taifa, Ni vyema kuitumia kwa kufanya mambo chanya yatakayo kumbukwa daima"

Majaliwa Bernard Ntazimila

Mjumbe, Kamati ya TEHAMA, 2024

“Tumia TEHAMA, dumisha maadili na Malengo ya Chama kwa kujenga mustakabali bora wa Chama”