

The Revolutionary Party (Chama Cha Mapinduzi- CCM) is the ruling political party in
Tanzania and is widely credited with playing a pivotal role in the nation's political and
economic development. Found-ed in 1977 following the merger of the Tanganyika African
National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), the sole operating parties in
mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar,respectively. The party was
established to replace the coalition of anti-colonial independence movements that had been
ruling the country since independence in 1961. Since then, CCM has been the dominant force
in Tanzanian politics,winning every election since its inception.
Tawi la CCM China Siku ya Tarehe 3/6/2025 liliratibu mapokezi ya Katibu wa (NEC) SUKI anayeshughulikia mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndg. Rabia Abdalla Hamid alipotembelea nchini China kwa Ziara ya Kikazi. Mapokezi haya yaliongozwa na Mwenyekiti wa Tawi la CCM China Cde. Hussein Ally Kanduru, Katibu wa Tawi Cde. Renatus Mahuyu, Katibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi Cde. Mariam Ibrahimu na Katibu wa Shina la Beijing Cde. Joseline Rajab.